Bao pekee la Mnigeria, Abaslim Chidiabele dakika ya 11 limeipa Stand United ushindi wa 1-0 dhidi ya Simba SC jioni hii Uwanja wa Kambarage, Shinyanga katika mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara. Picha ya kikosi cha Simba SC leo na ya chini kikosi cha Stand United Uwanja wa Kambarage.
0 comments:
Post a Comment