Mshambuliaji mkongwe wa Atletico Madrid, Fernando Torres (kushoto) akigombea mpira na kiungo wa Bayer Leverkusen, Roberto Hilbert (kulia) katika mchezo wa kwanza hatua ya 16 Bora Ligi ya Mabingwa Ulaya usiku huu nchini Ujerumani. Leverkusen ilishinda 1-0, bao pekee la Hakan Calhanoglu dakika ya 12, ingawa Torres alifunga lililokataliwa zikiwa zimebaki dakika 15. Lakini Atletico inapewa nafasi ya kupindua matokeo hayo katikaa mchezo wa marudiano Vicente Calderon Machi 17 na kwenda Robo Fainali ya michuano hiyo.
FCT police investigate death of woman found bound, unconscious in Gwarinpa
hotel room
-
From Juliana Taiwo-Obalonye, Abuja The Federal Capital Territory (FCT)
Police Command has opened a full investigation into the circumstances
surrounding ...
1 hour ago
0 comments:
Post a Comment