Taulant Xhaka wa Basle (kushoto) akipambana na winga wa Porto, Yacine Brahimi katika mchezo wa kwanza hatua ya 16 Bora Ligi ya Mabingwa Ulaya uliofanyika Uwanja wa Jacob Park usiku huu. Timu hizo zilitoka 1-1, Derlis Gonzalez akianza kuifungia Basle kabla ya Danilo kuisawazishia Porto kwa penalti baada ya Walter Samuel kuunawa mpira kwenye enero la hatari.
'Like Lionel Messi' - Frank stunned by Van de Ven goal
-
Tottenham manager Thomas Frank jokes that Micky van de Ven looked like
Lionel Messi after scoring a stunning solo effort in a 4-0 win over
Copenhagen in th...
17 minutes ago


.png)
0 comments:
Post a Comment