MEMBA wa kundi la Friends Of Simba na mwanachama muhimu wa klabu ya Simba SC, Crescentius John Magori (pichani) ameteuliwa kuwa Mjumbe wa Kamati ya Soka ya Ufukweni na Futsal ya Shirikisho la Soka Afrika (CAF).
Taarifa ya CAF imemtaja Magori, Makamu wa Rais wa zamani wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) katika Kamati hiyo iliyo chini ya Mwenyekiti Ahmad wa Madagascar na Makamu wake,
Dk Molefi Oliphant wa Afrika Kusini.
Wajumbe wengine ni Kaba Christopher Atanga wa Cameroon, Seif Zaher wa Misri, Joaozinho Mendes wa Guinea-Bissau, Antonio Nsue Ondo Oye wa Equatorial Guinea, Khiba Herbert Mohoanyane wa Lesotho, Abdallah Salem Mohamed wa Libya, Da Costa Vangente Leonel wa Sao Tome, Roch Henriette wa Shelisheli na Rodolf Andrea wa Sudan Kusini.
Magori pia Mkurugenzi wa Uendeshaji wa Mfuko wa Hifadhi ya Jamii (NSSF).

.png)
0 comments:
Post a Comment