• HABARI MPYA

    Tuesday, June 02, 2015

    TFF KUWATUNUKU VYETI MWALIMU NYERERE NA WENGINE KIBAO IKIZINDUA JEZI MPYA ZA TAIFA STARS KESHO

    SHIRIKISHO la Soka Tanzania (TFF), kesho Jumatano linatarajia kuzindua jezi mpya za timu za Taifa Tanzania, zitakazokuwa zikitumika katika michuano mbalimbali, uzinduzi huo utakafanyika katika hoteli ya JB Belmonte (PSPF) iliyopo eneo la Posta jijini Dar es salaam.
    Katika hafla hiyo, TFF itawatunukia vyeti viongozi mbalimbali waliotoa mchango katika mpira wa miguu, wadhamini, wahamashisashaji pamoja na wachezaji waliochezea Taifa Stars ikiwa ni maadhimisho ya miaka 50 tangu Tanzania kujiunga na Shirikisho la Mpira wa Miguu Duniani (FIFA).
    Rais wa TFF, Jamal Malinzi wa pili kushoto akifurahia na wachezaji wa timu ya pili ya taifa, maarufu kama Taifa Stars Maboresho

    WATUNUKIWA WA VYETI VYA KUMBUKUMBU YA MAADHIMISHO YA MIAKA 50, TANZANIA KUJIUNGA NA FIFA.

    VIONGOZI WA KITAIFA:
    1. Rais Msataafu Mwl. Julius K Nyerere
    2. Rais Mstaafu Ali Hassan Mwinyi
    3. Rais Mstaafu Benjamin William Mkapa
    4. Rais Dk. Jakaya Mrisho Kikwete
    5. Rais Mstaafu Abeid Amani Karume
    6. Rais Mstaafu Amani Abeid Karume
    7.Rais Mstaafu Abdul Wakili
    8. Rais Mstaafu Abdu Jumbe
    9. Rais Dk. Salmin Amour
    10. Rais Dk. Mohamed Shein

    WENYEVITI/MARAIS FAT/TFF
    11.Balozi Maggid
    12. Mzee Ali Chambuso
    13. Said Hamad El Maamry
    14. Alhaj Muhidin Ahmad Ndolanga
    15. Leodgar Chilla Tenga

    MAKATIBU WAKUU
    16. Said Hassan
    17. Abdallah Mpolaki
    18. Kitwana Ibrahim
    19. Martin Maude
    20. Meshack Maganga
    21. Col. Yunus Abdallah
    22. Patrick Songora
    23. Ali Mwanakatwe
    24. Ismail Aden Rage
    25. Angetile Osiah
    26. Michael Wambura
    27. Fredrick Mwakalebela

    MAKOCHA
    28. Mansour Magram
    29. Paul West Gwivaha
    30. Joel Nkaya Bendera
    31. Don Korosso
    32. Mohamed Msomali
    33. Shaban Marijani
    34. Hamis Kilomoni
    35. Syllersaid Mziray

    WAAMUZI
    36. Gratian Matovu
    37. Kassim Chona
    38. Zuberi Bundala
    39. Mohamed Nyama
    40. Mussa Lyaunga
    41. Ramadhani Mwinyikonda
    42. Ramadhani Kaabuka
    43. Joseph Mapunda
    44. Dunstan Daffa
    45. Said Almasi
    46. Abdul Rasul Ismail

    WACHEZAJI
    47. Mohamed Chuma
    48. Kitwana Manara
    49. Miraji Juma
    50. Dracula
    51. Mathias Kissa
    52. Hamis Fikirini
    53. Emily Kondo
    54. Abdulrahman Lukongo
    55. Hemedi Seif
    56. Abdul Aziz
    57. Mbwana Abushir
    58. Sembwana
    59. Mweri Simba
    60. Omar Zimbwe
    61. Arthur Mwambeta
    62. Ayoub Mohamed
    63. John Lyimo
    64. Mohamed Mwabuda

    TIMU YA TAIFA 1979-1980 ILIYOKWENDA NIGERIA
    65. Leodgar Tenga (Nahodha)
    66. Athuman Mambosasa
    67. Idd Pazi
    68. Juma Pondamali
    69. Leopold Mukebezi
    70. Ahmed Amasha
    71. Ramadhani Nyamwela
    72. Mohamed Kajole
    73. Salim Amir
    74. Jella Mtegwa
    75. Mtemi Ramadhani
    76. Adolf Rishard
    77. Hussein Ngulungu
    78. Juma Mkambi
    79. Omari Hussein
    80. Thuweni Ally
    81. Mohamed Salim
    82. Peter Tino
    83. Rashid Chama
    84. Slomir Wolk (Kocha Mkuu)
    85. Joel Bendera (Kocha Msaidizi)
    86. Dk. Katala (Daktari wa timu)
    87. Mzee Mwinyi (Meneja)
    88. Willy Kiango
    89. Daud Salum
    90. Stanford Nkondora (Mkuu wa Msafara)

    MAWAZIRI WA MICHEZO
    91. Mrisho Sarakikya
    92. Chadiel Mgonja
    93. Fatma Said Ally
    94. Prof. Phillemon Sarungi
    95. Prof. Juma Kapuya
    96. Mohamed Seif Khatib
    97. Dk. Emmanue Nchimbi

    VIONGOZI WA BARAZA LA MICHEZO LA TAIFA (BMT)
    98. Said Hamad El Maamry
    99. Balozi Maggid
    100. Moses Mnauye
    101. Makame Rashid

    MAKATIBU BMT
    102. Salum Dossi
    103. Mohamed Lutta
    104. Ernest Mlinda
    105. Leonard Thadeo

    WAKURUGENZI WA MICHEZO SERIKALINI
    106. Khalifa Abdallah
    107. Chabanga Hassan Dyamwale
    108. Joas Nkongo
    109. Flavian Kipanga
    110. Henry Ramadhani
    111. Leonard Thadeo
    112. Jenerali Ulimwengu

    WADHAMINI
    113. TBL
    114. VODACOM
    115. SERENGETI BREWERIES
    116. NMB
    117. AZAM
    118. BAHATI NASIBU YA TAIFA
    119. AIRTEL
    120. BANK ABC
    121. COCA COLA
    122. NSSF
    123. AZAM MEDIA
    124. BARRICK GOLD MINE
    125. AIR TANZANIA
    126. TANZANIA RAILWAY CORPORATION
    127. SYMBION
    128. TANZANIA TOBACCO BOARD
    129. TANZANIA COFFEE BOARD
    130. TANZANIA SISAL BOARD
    131. TANZANIA HARBOU AUTHORITY
    132. BIMA
    133. UHAMIAJI
    134. BORA
    135. URAFIKI
    136. TACOSHILL

    WATANGAZAJI WA MPIRA
    137. Omar Masoud Jarawa
    138. Salim Seif Mkamba
    139. Ahmed Jongo
    140. Nadhir Mayoka
    141. Halima Mchuka
    142. Idd Rashid Mchatta
    143. Charles Hilary
    144. Dominic Chilambo
    145. Tido Mhando
    146. Abdul Ngalawa
    147. Mikidad Mohamoud
    148. Abdallah Majura

    WAANDISHI WA HABARI ZA MICHEZO
    149. Tommy Shitole
    150. Willie Chiwango
    151. Steven Rweikiza
    152. Muhidin Issa Michuzi
    153. John Ngahyoma
    154. Mwalimu Omar
    155. James Nhende

    WAHAMASISHAJI WA TIMU YA TAIFA
    156. JKT Mafinga Kimulimuli
    157. Mbaraka Mwinshehe

    MABINGWA WA LIGI
    158. Cosmopolitan
    159. Simba Sports Club
    160. Young Africans Sports Club
    161. Mseto
    162. Pan African
    163. Tukuyu Stars
    164. Coastal Union
    165. Mtibwa Sugar Football Club
    166. Azam Football Club

    WAWAKILISHI WA MUUNGANO
    167. Malindi FC
    168. Tanzania Stars
    169. Pamba FC
    170. Reli Morogoro
    171. African Sports
    172. Tanzania Prisons
    173. Simba Sports Club
    174. Young Africans Sports Club

    VIONGOZI WA VILABU
    175. Shaban Mwakayungwa
    176. Tabu Mangara
    177. Kondo Kipwata
    178. Jabir Katundu
    179. Amiri Ali Bamchawi
    180. Juma Salud
    181. David Ngonya
    182. Priva Mtema
    183. Mama Fatma Karume
    184. Ramnik Patel Kaka
    185. Aboubakar Mgumia
    186. Kitwana Kondo
    187. Kitwana Athuman
    188. Abdulwahab Abbas Maziwa 
    189. Ally Sykes (Kleist Sykes)

    VIONGOZI WALIOJENGA VIWANJA
    190. Richard Wambura
    191. Lawrence Gama
    192. Abdulnur Suleiman
    193. Sheikh Amri Abeid
    194. Mohamed Kissoky
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: TFF KUWATUNUKU VYETI MWALIMU NYERERE NA WENGINE KIBAO IKIZINDUA JEZI MPYA ZA TAIFA STARS KESHO Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top