• HABARI MPYA

    Monday, June 01, 2015

    MALIMI BUSUNGU AKABIDHIWA JEZI YA NIZAR KHALFAN YANGA SC

    Mshambuliaji wa Yanga SC, Malimi Busungu akiwa amevalia jezi ya timu hiyo baada ya kutambulishwa rasmi makao makuu ya klabu, Jangwani, Dar es Salaam kufuatia kusaini Mkataba wa miaka miwili juzi.
    Busungu aliyesajiliwa kutoka Mgambo JKT ya Tanga amepewa jezi namba 16, ambayo ilikuwa inavaliwa na Nizar Khalfan, ambaye amemaliza Mkataba wake na klabu imemruhusu kuondoka, taarifa zikisema anakwenda Mwadui ya Shinyanga iliyopanda Ligi Kuu.
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: MALIMI BUSUNGU AKABIDHIWA JEZI YA NIZAR KHALFAN YANGA SC Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top