Na Prince Akbar, DAR ES SALAAM
RAIS wa zamani wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), Leodegar Chilla Tenga (pichani) anaweza kuwa mtu aliye kwenye Kamati nyingi zaidi za Shirikisho la Soka Afrika (CAF).
Mhandisi huyo, ambaye ni Mjumbe wa kamati ya Utendaji ya CAF- pia ni Mwenyekiti wa Kamati ya Masoko na Televisheni.
Kamati ya Utendaji ya CAF ipo chini ya Rais, Issa Hayatou wa Cameroon, Makamu wake wawili, Suketu Patel wa Shelisheli na Almamy Kabele Camara wa Guinea, wakati Wajumbe ni Tenga, Amadou Diakite wa Mali, Adoum Djibrine wa Chad na Mohamed Raouraoua wa Algeria.
Wengine ni Magdi Shams El Din wa Sudan, Tarek Bouchamaoui wa Tunisia, Kalusha Bwalya wa Zambia, Kwesi Nyantakyi wa Ghana, Constant Omari Selemani wa DRC, DRC, Ahmad wa Madagascar, Anjorin Moucharafou wa Benin, Dr Molefi Oliphant wa Afrika Kusini, Hani Abo Rida wa Misri, Jacques Anouma wa Ivory Coast, Lydia Nsekera wa Burundi na Hicham El Amrani wa Morocco ambaye ni Katibu Mkuu.
Tenga, ambaye ni Mwenyekiti wa Baraza la Vyama vya Soka Afrika Mashariki na Kati (CECAFA), pia ni Mwenyekiti wa Kamati ya Masoko na TV ya CAF, Makamu wake akiwa ni Danny Jordaan wa Afrika Kusini na Wajumbe Mike Itemuagbor wa Nigeria, Sadi Walid wa Algeria, George Afriyie wa Ghana, Alphonso Boakai Armah wa Liberia, Djibrilla Hima Hamidou wa Niger, Antonio Souare wa Guinea, Mamoutou Toure wa Mali, Hani Aboo Rida wa Misri na Jean-Marie Weber Mshauri kutoka Ufaransa.
Akiiwakilisha CECAFA, Tenga pia ni Mjumbe wa Kamati ya Ushauri ya Vyama wanachama wa CAF, ambayo ipo chini ya Mwenyekiti, Issa Hayatou, Makamu wake Almamy Kabele Kabele wa Guinea, Suketu Patel anayewakilisha COSAFA, Ali Fassi-Fihri wa Morocco anayewakilisha UNAF, Emmanuel Senghor wa Senegal anayeakilisha WEST A, Kwesi Nyantakyi wa Ghana anayewakilisha WEST B na Domingo Mituy wa Equatorial Guinea anayewakilisha UNIFFAC.
Nahodha wa zamani wa timu ya taifa ya Tanzania, Taifa Stars, Tenga pia ni Makamu Mwenyekiti wa Kamati ya Fedha ya CAF kama Mjumbe, chini ya Mwenyekiti Suketu Patel.
Wajumbe ni Constant Omari Selemani, Owona-Pascal Baylon wa Cameroon, Hassan Farid wa Misri, Chabur Goc wa Afrika Kusini, Chiheb Belkhiria wa Tunisia, Boniface Mwamelo wa Zambia na Yacouba Sidiki Traore wa Mali.
Beki wa zamani wa Yanga SC, Tenga pia ni Mjumbe wa Kamati ya Ufundi na Maendeleo ya CAF, chini ya Mwenyekiti Suketu Patel, Makamu wake Kalusha Bwalya na Wajumbe wengine Ibrahima Sory Conte wa Guinea, Yusuf Ahmed wa
Nigeria, Ali Said Guled wa Somalia, Mohamed Abdallah Magzoub wa Sudan, Joseph Diop wa Senegal, Fran Smith wa Afrika Kusini, Francis Oti-Akenteng wa Ghana na Manirakiza Jeremie wa Burundi.
Mchezaji huyo wa zamani wa Pan African, Tenga pia ni Mjumbe wa Kamati ya Maandalizi ya michuano ijayo ya CHAN nchini Rwanda, chini ya Mwenyekiti Almamy Kabele Camara wa Guinea, Makamu wake Amadou Diakite wa Mali na Wajumbe Suketu Patel, Tarek Bouchamaoui wa Tunisia, Kalusha Bwalya, Nyamilandu-Manda Walter wa Malawi, Feizal Sidat wa Msumbiji, Tesfaye Gebreyesus wa Eritrea, Osama Ata Elmanan Hassan wa Sudan, Pedro de Morais Neto wa Angola, Jean-Michel Mbono wa Kongo, Suleiman Hassan Waberi wa Djibouti, Frederic Eric Crentsil wa Ghana, Salifou Camara wa Guinea,
Sam Nyamweya wa Kenya, Said Belkhayat wa Morocco, Ahmed Yahya wa Mauritania, Daboussi Nabil wa Tunisia, Moctar Mahamoud wa Chad,
Al Hadj Sani Lulu wa Nigeria, Musa Bility wa Liberia, Dk. Molefi Oliphant wa Afrika Kusini na Nzamwita Vincent wa Rwanda.
Rais wa sasa wa TFF, Jamal Malinzi yupo kwenye Kamati ya Maandalizi ya michuano ya U-17 chini ya Mwenyekiti Mohamed Raouraoua wa Algeria, Makamu wake, Anjorin Moucharafou wa Benin.
Wajumbe wengine ni Timothy Shongwe wa Swaziland, El Hadj Tiemogo Ibrahim wa Niger,
Mario Semedo Mendes wa Cape Verde, Manuel Lopes Nascimento wa Guinea-Bissau, Ngenzi Raoul Gisanura wa Rwanda, Amavi Ayayi Patatu wa Togo, Ismael Locate wa Reunion, Boubacar Diarra wa Mali, Samir Sobha wa Mauritius na Ndikuriyo Reverien wa Burundi.
Kaimu Katibu wa zamani wa TFF, Lina Kessy yupo kwenye Kamati ya Maandalizi ya Soka Wanawake chini ya Mwenyekiti Dk Molefi Oliphant wa Afrika Kusini, Makamu wake Almamy Kabele Camara wa Guinea, Wajumbe Nastacia Tschiclas wa Afrika Kusini, Ibrahima Barry wa Guinea, John Muinjo wa Namibia, Mariyatta Abdou Chacour wa Comoro, Berthe Adou Caye wa Ivory Coast, Teruwork Berh Worldemariam wa Ethiopia, Felix Ansong wa Ghana, Pedro Alogo Onao Abeku wa Equatorial Guinea, Filipe Lucas Johane wa Msumbiji na Quentin Toussaint Didavi wa Benin.
Mtanzania mwingine kwenye Kamati za CAF ni Mkurugenzi wa Uendeshaji wa Mfuko wa Hifadhi ya Jamii (NSSF), Crescentius John Magori ambaye ni Mjumbe wa Kamati ya Soka ya Ufukweni na Futsal chini ya Mwenyekiti Ahmad wa Madagascar na Makamu wake, Dk Molefi Oliphant wa Afrika Kusini.
Wajumbe wengine ni Kaba Christopher Atanga wa Cameroon, Seif Zaher wa Misri, Joaozinho Mendes wa Guinea-Bissau, Antonio Nsue Ondo Oye wa Equatorial Guinea, Khiba Herbert Mohoanyane wa Lesotho, Abdallah Salem Mohamed wa Libya, Da Costa Vangente Leonel wa Sao Tome, Roch Henriette wa Shelisheli na Rodolf Andrea wa Sudan Kusini

.png)
0 comments:
Post a Comment