Mchezaji mpya bora chipukizi wa Mwaka wa Ligi Kuu ya England, Dele Alli wa Tottenham Hotspur akipasua katikati ya wachezaji wa West Bromwich Albion katika mchezo wa ligi hiyo usiku wa Jumatatu Uwanja wa White Hart Lane, London. Timu hizo zimetoka sare ya 1-1, Craig Dawson akianza kujifunga dakika ya 33 yeye mwenyewe kuisawazishia West Brom dakika ya 73 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Joel Embiid miffed by FT disparity in 76ers' Game 3 loss to Knicks: 'I
guess it's good when New York wins'
-
The Knicks attempted 32 free throws on Friday night, twice as many as the
Sixers.
4 minutes ago



.png)
0 comments:
Post a Comment