| Mshambuliaji wa zamani wa Coastal Union, Abdallah Saleh 'Sabebe' alikuwepo Uwanja wa Mkwakwani, Tanga Jumapili kuishuhudia timu yake hiyo ikimenyana na Yanga SC katika Nusu Fainali ya Kombe la Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), maarufu kama Kombe la Azam Sports Federation Cup (ASFC). Mchezo huo ulivunjika dakika ya 110, Yanga inaongoza 2-1 baada ya mashabiki kumjeruhi kwa jiwe mshika kibendera namba mbili, Charles Simon wa Dodoma |
0 comments:
Post a Comment