Mshambuliaji wa kimataifa wa Nigerian, Kelechi Iheanacho akimtungua kipa wa Stoke City, Jakob Haugaard aliyetokea benchi kuifungia bao la nne Manchester City katika ushindi wa 4-0 kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya England jioni ya leo Uwanja wa Etihad. Iheanacho alifunga mawili, mengine mawili akifunga Sergio Aguero moja kwa penalti PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Three things we learned from Chelsea draw as tactical tweak unlocks new
blueprint
-
A juggling act on the wing produced a far better team performance against
Liverpool
6 minutes ago



.png)
0 comments:
Post a Comment