![]() |
Wazimbabwe wa Yanga ambayo sasa inaangukia kwenye Kombe la Shirikisho, Thabani Kamusoko na Donald Ngoma (nyuma) wakiongozana kutoka JNIA |
![]() |
Beki wa kulia, Juma Abdul (kulia) na kiungo Said Juma wakitoka ndani ya JNIA |
![]() |
Kocha Hans van der Pluijm (katikati) wakati wa kuwasili mchana wa leo |
![]() |
Mashabiki waliojitokeza kuilaki timu wakicheza kwa furaha Uwanja wa Ndege wa Dar es Salaam |
0 comments:
Post a Comment