BEKI wa Manchester City, Joao Cancelo akishangilia baada ya kuifungia Ureno bao la kwanza dakika ya 41 katika ushindi wa 4-1 dhidi ya Croatia kwenye mchezo wa Kundi la Tatu Ligi ya Mataifa ya Ulaya usiku wa jana Uwanja wa Do Dragao Jijini Porto. Mabao mengine ya Ureno iliyomkosa nyota wake, Cristiano Ronaldo yalifungwa na Diogo Jota dakika ya 58, Joao Felix dakika ya 70 na Andre Silva dakika ya 90 na ushei, wakati la Croatia lilifungwa na Bruno Petkovic dakika ya 90 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
SIR CLIVE WOODWARD: Why this England line-up is so disappointing, from the
Marcus Smith muddle to the unnecessary changes all over the pitch - and the
worrying impact it could have on our World Cup chances
-
I'm a big fan of Steve Borthwick. But I have to be honest and say I'm
disappointed in his team selection for the match against Fiji.
1 hour ago



.png)
0 comments:
Post a Comment