NAMUNGO FC WAKIJIFUA KWA BIDII UWANJA WA MAJALIWA KUJIANDAA NA MCHEZO WAO UJAO WA LIGI KUU DHIDI YA POLISI TANZANIA JUMATATU
Kiungo Iddi Kipagwile akiruka juu kwenye mazoezi ya Namungo FC Uwanja wa Majaliwa, Ruangwa mkoani Lindi kujiandaa na mchezo wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara dhidi ya Polisi Tanzania Jumatatu
Kiungo Abdulhalim Humud 'Gaucho' akikimbia kwenye mazoezi ya Namungo FC Uwanja wa Majaliwa kujiandaa na mchezo ya Polisi Jumatatu
Kiungo Abdulhalim Humud 'Gaucho' akikimbia kwenye mazoezi ya Namungo FC Uwanja wa Majaliwa kujiandaa na mchezo ya Polisi Jumatatu
Item Reviewed: NAMUNGO FC WAKIJIFUA KWA BIDII UWANJA WA MAJALIWA KUJIANDAA NA MCHEZO WAO UJAO WA LIGI KUU DHIDI YA POLISI TANZANIA JUMATATU
Rating: 5
Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
0 comments:
Post a Comment