PSG WAANZA VIBAYA LIGUE 1 BAADA YA KUPIGWA 1-0 NA LENS
Wachezaji wa Racing Club de Lens wakipongezana baada ya ushindi wa 1-0 dhidi ya mabingwa watetezi, Paris Saint-Germain kwenye mchezo wa Ligue 1, Ufaransa bao pekee la mshambuliaji Mcameroon, Ignatius Kpene Ganago dakika ya 57 Uwanja wa Bollaert-Delelis Jijini Lens. PSG iliyokuwa inacheza mechi yake ya kwanza ya msimu mpya, iliwakosa nyota wake wote, Neymar, Kylian Mbappe na Angel Di Maria PICHA ZAIDI GONGA HAPA
SGF, lawmaker back president’s second term
-
From Godwin Tsa, Abuja The Secretary to the Government of the Federation
(SGF) Senator George Akume, has called on the people state to support
President ...
0 comments:
Post a Comment