UONGOZI WA YANGA SC WAKANA MPANGO WA KUFANYA MAANDAMANO, KUKATA RUFAA KUPINGA ADHABU YA MWAKALEBELA
YANGA SC imekana barua inayosambazwa kwenye mitandao ya kijamii ikidai klabu hiyo imeomba kuandamana kupinga uonevu wanaofanyiwa na Shirikisho la Soka Tanzania (TFF).
Pamoja na hayo, Yanga SC itakata rufaa kupinga adhabu ya kufungiwa kwa Makamu wake Mwenyekiti, Frederick Mwakalebela.
Item Reviewed: UONGOZI WA YANGA SC WAKANA MPANGO WA KUFANYA MAANDAMANO, KUKATA RUFAA KUPINGA ADHABU YA MWAKALEBELA
Rating: 5
Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
0 comments:
Post a Comment