UONGOZI WA YANGA SC WATAJA AJENDA 12 ZA MKUTANO WAKE WA JUNI 27 KUBWA KUPITIA MAPENDEKEZO YA MAREKEBISHO YA KATIBA
UONGOZI wa Yanga SC umetaja ajenda 12 za Mkutano wake wa Juni 27 utakaofanyika ukumbi wa DYCCC, Chang’ombe, mkabala na Chuo cha DUCE Jijini Dar es Salaam. Miongoni mwa ajenda hizo ni kujaza nafasi za uongozi zilizoachwa wazi na kupitia mapendekezo ya marekebisho ya Katiba na taratibu za klabu.
Item Reviewed: UONGOZI WA YANGA SC WATAJA AJENDA 12 ZA MKUTANO WAKE WA JUNI 27 KUBWA KUPITIA MAPENDEKEZO YA MAREKEBISHO YA KATIBA
Rating: 5
Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
Ogun donates land to FG to develop inland dry port
-
From Idu Jude, Abuja The Government of Ogun State has donated over 130
hectares of land to the federal government of Nigeria for the development
of an in...
0 comments:
Post a Comment