KMC YAICHAPA AZAM FC BAO 1-0 KATIKA MCHEZO WA KIRAFIKI ULIOFANYIKA CHAMAZI ASUBUHI YA LEO
TIMU ya KMC imeibuka na ushindi wa 1-0 dhidi ya wenyeji, Azam FC bao pekee la beki Mrundi, Suleiman Ndikumana kwa penalti katika mchezo wa kirafiki asubuhi ya leo Uwanja wa Azam Complex, Chamazi Jijini Dar es Salaam.
0 comments:
Post a Comment