KARIA KUGOMBEA URAIS WA TFF BILA MPINZANI BAADA YA WAGOMBEA WENGINE WOTE WAWILI KUENGULIWA KWENYE USAILI
RAIS wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), Wallace John Karia atatetea nafasi yake bila upinzani katika uchaguzi uliopangwa kufanyika Agosti 7 Jijini Tanga. Hiyo ni baada ya wapinzani wake wote wawili waliobaki kuenguliwa katika usaili uliofanyika Juni 25. mwaka huu Dar es Salaam.
Item Reviewed: KARIA KUGOMBEA URAIS WA TFF BILA MPINZANI BAADA YA WAGOMBEA WENGINE WOTE WAWILI KUENGULIWA KWENYE USAILI
Rating: 5
Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
Anthony Joshua’s fight in Nigeria pegged for 2026
-
Former world boxing heavyweight champion, Anthony Joshua’s career-long
dream to host a match in Nigeria is closer to reality as boxing promoter
Ezekiel A...
0 comments:
Post a Comment