TFF YASEMA MASHABIKI WAPYA 13782 NDIO WATAKAOUZIWA TIKETI KWA AJILI YA PAMBANO LA SIMBA NA YANGA JUMAMOSI
SHIRIKISHO la Soka Tanzania (TFF) limesema tiketi 13782 mpya ndizo zitauzwa kwa ajili ya mchezo wa watani wa jadi Jumamosi Uwanja wa Benjamin Mkapa Jijini Dar es Salaam. Hiyo ni kwa sababu sehemu nyingine imetengwa kwa ajili ya mashabiki waliokata tiketi kwa ajili ya mchezo ulioahirishwa Mei 8.
Item Reviewed: TFF YASEMA MASHABIKI WAPYA 13782 NDIO WATAKAOUZIWA TIKETI KWA AJILI YA PAMBANO LA SIMBA NA YANGA JUMAMOSI
Rating: 5
Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
Anthony Joshua’s fight in Nigeria pegged for 2026
-
Former world boxing heavyweight champion, Anthony Joshua’s career-long
dream to host a match in Nigeria is closer to reality as boxing promoter
Ezekiel A...
0 comments:
Post a Comment