YANGA SC YAACHANA NA KOCHA WA TIMU YAKE YA WANAWAKE, EDNA LEMA ALIYEOMBA MWENYEWE KUJIUZULU KAZI PRINCESS
KOCHA wa timu ya wanawake ya Yanga, Yanga Princess, Edna Lema amejiuzulu nafasi hiyo baada ya misimu mawili ya kuiongoza timu hiyo. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na klabu hiyo leo, Lema aliomba kujiuzulu nafasi yake ya ukocha na uongozi wa timu hiyo umeridhia ombi hilo.
Item Reviewed: YANGA SC YAACHANA NA KOCHA WA TIMU YAKE YA WANAWAKE, EDNA LEMA ALIYEOMBA MWENYEWE KUJIUZULU KAZI PRINCESS
Rating: 5
Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
0 comments:
Post a Comment