MSHAMBULIAJI MTANZANIA ADAM ADAM AANZA NA MOTO LIGI YA LIBYA, AFUNGA BAO KATIKA MECHI YAKE YA KWANZA TU BAADA YA KUSAJILIWA
MSHAMBULIAJI Mtanzania, Adam Adam ameripotiwa kufunga bao katika mechi yake ya kwanza klabu yake mpya, Al Wehda dhidi ya Aschat kwenye Ligi Kuu ya Libya baada ya kusajiliwa wiki iliyopita akitokea JKT Tanzania ya nyumbani.
Item Reviewed: MSHAMBULIAJI MTANZANIA ADAM ADAM AANZA NA MOTO LIGI YA LIBYA, AFUNGA BAO KATIKA MECHI YAKE YA KWANZA TU BAADA YA KUSAJILIWA
Rating: 5
Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
SGF, lawmaker back president’s second term
-
From Godwin Tsa, Abuja The Secretary to the Government of the Federation
(SGF) Senator George Akume, has called on the people state to support
President ...
0 comments:
Post a Comment