Mwanzo > YANGA > BUMBULI NA MANARA WAPIGWA FAINI KILA MMOJA HABARI MOTOMOTO HABARI ZA NYUMBANI TFF YANGA BUMBULI NA MANARA WAPIGWA FAINI KILA MMOJA MAAFISA Habari wa Yanga SC, Hassan Bumbuli na Haji Manara kila mmoja ametozwa faini ya Sh. 500,000 kwa kosa la kuwashutumu marefa kwenye vyombo vya Habari Februari 8, mwaka huu. Friday, February 11, 2022 HABARI MOTOMOTO HABARI ZA NYUMBANI TFF YANGA
0 comments:
Post a Comment