Mwanzo > YANGA > LUSAJO AMFUNIKA MAYELE KWA MABAO LIGI KUU HABARI MOTOMOTO HABARI ZA NYUMBANI LIGI KUU BARA NAMUNGO FC YANGA LUSAJO AMFUNIKA MAYELE KWA MABAO LIGI KUU MSHAMBULIAJI wa Namungo FC, Relliant Lusajo amemaliza mzunguko wa kwanza anaongoza kwa mabao Ligi Kuu ya Tanzania Bara baada ya kufumania nyavu mara 10, mara tatu zaidi ya Mkongo wa Yanga, Fiston Kalala Mayele. Friday, February 25, 2022 HABARI MOTOMOTO HABARI ZA NYUMBANI LIGI KUU BARA NAMUNGO FC YANGA
0 comments:
Post a Comment