RAIS wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), Wallace Karia na Katibu Mkuu wake, Kidao Wilfred leo wamekutana na Balozi wa Uturuki hapa nchini Dk. Mehmet Gulluoglu ofisini kwake, Oysterbay, Dar es Salaam kuzungumzia juu ya ushirikiano katika maendeleo ya mchezo.
0 comments:
Post a Comment