Mwanzo > HABARI ZA NYUMBANI > AZAM FC YAACHANA RASMI NA IBRAHIM AJIBU AZAM HABARI MOTOMOTO HABARI ZA NYUMBANI AZAM FC YAACHANA RASMI NA IBRAHIM AJIBU KLABU ya Azam FC imetangaza kuachana na kiungo mshambuliaji, Ibrahim Ajibu Migomba iliyemsajili Desemba mwaka jana kutoka Simba SC. Tuesday, December 20, 2022 AZAM HABARI MOTOMOTO HABARI ZA NYUMBANI
0 comments:
Post a Comment