Mwanzo > SIMBA > BEKI SIMBA AFUNGIWA KWA KUMWAGA ‘UPUPU’ SOKOINE HABARI MOTOMOTO HABARI ZA NYUMBANI LIGI KUU BARA MBEYA CITY SIMBA BEKI SIMBA AFUNGIWA KWA KUMWAGA ‘UPUPU’ SOKOINE BEKI wa Simba SC, Gardiel Michael Mbaga amefungiwa mechi tatu na kutozwa faini ya Sh. 500,000 kwa kuingia kwa nguvu Uwanja wa Sokoine Jijini Mbeya na kumwaga Unga asubuhi kabla ya mechi yao na Mbeya City jioni yake. Friday, December 02, 2022 HABARI MOTOMOTO HABARI ZA NYUMBANI LIGI KUU BARA MBEYA CITY SIMBA
0 comments:
Post a Comment