RAIS WA HESHIMA MO DEWJI AUNDA ‘SERIKALI MPYA’ SIMBA SC
RAIS wa Heshima wa Simba, Mohamed ‘Mo’ Dewji ameunda Baraza jipya la Ushauri la klabu chini ya Mwenyekiti Jaji Thomas Mihayo na Wajumbe 20, wakiwemo Marais wa zamani wa klabu hiyo Alhaj Ismail Aden Rage na Evans Elieza Aveva.
0 comments:
Post a Comment