‘MIDO YA KAZI’ ADOLF MTASINGWA BITEGEKO MAPEMA TU AMERIPOTI AZAM FC
KIUNGO wa umri wa miaka 24, Adolf Mtasingwa Bitegeko (kushoto) ambaye amekuwa akihusishwa na kuhamia kwa vigogo, Yanga akiwa mazoezini na wachezaji wenzake wa Azam FC leo asubuhi kabla ya kikosi kwenda kambini. GONGA KUTAZAMA PICHA ZAIDI
0 comments:
Post a Comment