Mwanzo > YANGA > MSHERY AONGEZA MKATABA WA KAZI YANGA HADI 2027 HABARI MOTOMOTO HABARI ZA NYUMBANI YANGA MSHERY AONGEZA MKATABA WA KAZI YANGA HADI 2027 KİPA wa akiba wa Yanga, Abutwalib Hamad Mshery (25) ameongeza mkataba wa miaka mitatu wa kuendelea kuichezea klabu hiyo hadi mwaka 2027.VIDEO YA UTAMBULISHO WA MSHERY KUONGEZA MKATABA YANGA Friday, July 05, 2024 HABARI MOTOMOTO HABARI ZA NYUMBANI YANGA
0 comments:
Post a Comment