• HABARI MPYA

    Showing posts with label SIMBA. Show all posts
    Showing posts with label SIMBA. Show all posts
    Thursday, March 28, 2024
    BENCHIKA: TUNA KAZI NGUMU MBELE YA AHLY KESHO

    BENCHIKA: TUNA KAZI NGUMU MBELE YA AHLY KESHO

    KOCHA Mkuu wa Simba SC, Mualgeria Abdelhak Benchika amesema wana kazi ngumu kesho mbele ya Al Ahly ya Misri katika mchezo wa kwanza wa Robo ...
    Wednesday, March 27, 2024
    AL AHLY TAYARI WAPO DAR KUIKABILI SIMBA IJUMAA

    AL AHLY TAYARI WAPO DAR KUIKABILI SIMBA IJUMAA

      KIKOSI cha Al Ahly ya Misri kimewasili mchana huu Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA) Jijini Dar es Salaam kwa ajili ya ...
    Tuesday, March 26, 2024
    SIMBA SC YAREJEA DAR TAYARI KUMVUA TAJI AHLY IJUMAA

    SIMBA SC YAREJEA DAR TAYARI KUMVUA TAJI AHLY IJUMAA

    KIKOSI cha Simba SC kimerejea leo Jijini Dar es Salaam kutoka visiwani Zanzíbar kwa ajili ya maandalizi ya mwisho kuelekea mchezo wa kwanza ...
    Monday, March 25, 2024
    BEKI WA ZAMANI SIMBA NA YANGA, RAMAZANI WASSO AFARIKI DUNIA

    BEKI WA ZAMANI SIMBA NA YANGA, RAMAZANI WASSO AFARIKI DUNIA

    BEKI wa zamani wa Kimataifa wa Burundi, Ramazani Wasso amefariki dunia leo kwa Bujumbura nchini Burundi baada ya kusumbuliwa na maradhi kwa ...
    SIMBA SC YATOZWA FAINI KWA VITENDO VYA USHIRIKINA

    SIMBA SC YATOZWA FAINI KWA VITENDO VYA USHIRIKINA

    KLABU ya Simba SC imetozwa faini ya Sh. Milioni 1 kwa kosa la mashabiki wake kuingia uwanjani na kwenda golini kuchimba kutoa vitu, ambayo i...
    Sunday, March 24, 2024
    MSEMAJI WA SERIKALI MATINYI AFAFANUA KAULI YA WAZIRI NDUMBARO MECHI ZA SIMBA NA YANGA

    MSEMAJI WA SERIKALI MATINYI AFAFANUA KAULI YA WAZIRI NDUMBARO MECHI ZA SIMBA NA YANGA

    MKURUGENZI wa Idara ya Habari, MAELEZO na Msemaji Mkuu wa Serikali Mobhare Matinyi ametoa ufafanuzi kuhusu kauli ya Waziri wa Utamaduni, San...
    Friday, March 22, 2024
    KARIA AKABIDHIWA JEZI ZA SIMBA NA YANGA KAMPENI YA KUZING’OA AHLY NA MAMELODI AFRIKA

    KARIA AKABIDHIWA JEZI ZA SIMBA NA YANGA KAMPENI YA KUZING’OA AHLY NA MAMELODI AFRIKA

    RAIS wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), Wallace Karia leo amekabidhiwa jezi za Simba na Yanga kuelekea mechi za kwanza za Robó Fainali ...
    Thursday, March 21, 2024
    KIINGILIO CHA CHINI SIMBA NA AL AHLY NI SH 5,000 MACHI 29 DAR

    KIINGILIO CHA CHINI SIMBA NA AL AHLY NI SH 5,000 MACHI 29 DAR

    Afisa Habari wa Simba SC, Ahmed Ally akizungumza na Waandishi wa Habari jana Jijini Dar es Salaam. KIINGILIO cha chini katika mchezo wa kwan...
    Wednesday, March 20, 2024
    SERIKALI YASISITIZA UZALENDO SIMBA NA YANGA DHIDI YA AHLY NA MAMELODI ROBO FAINALI LIGI YA MABINGWA

    SERIKALI YASISITIZA UZALENDO SIMBA NA YANGA DHIDI YA AHLY NA MAMELODI ROBO FAINALI LIGI YA MABINGWA

    WAZIRI wa Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dk. Damas Ndumbaro amewaomba Watanzania  waziunge mkono Simba na Yanga kwenye michezo ya Robo Fainali...
    Tuesday, March 19, 2024
    SIMBA SC YAINGIA KAMBINI ZANZÍBAR KUJIANDAA NA AL AHLY

    SIMBA SC YAINGIA KAMBINI ZANZÍBAR KUJIANDAA NA AL AHLY

    KLABU ya Simba leo imeingia kambini visiwani Zanzíbar kujiandaa na mechi mbili za nyumbani na ugenini Robó Fainali Ligi ya Mabingwa Afrika d...
    Friday, March 15, 2024
    CHAMA APIGA ZOTE SIMBA SC YAICHAPA MAAHUJAA 2-0

    CHAMA APIGA ZOTE SIMBA SC YAICHAPA MAAHUJAA 2-0

    TIMU ya Simba SC imeibuka na ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya Mashujaa FC ya Kigoma katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara leo Uwanja w...
    Thursday, March 14, 2024
    Tuesday, March 12, 2024
    NTIBANZOKIZA APIGA MBILI SIMBA SC YAICHAPA SINGIDA 3-1

    NTIBANZOKIZA APIGA MBILI SIMBA SC YAICHAPA SINGIDA 3-1

    TIMU ya Simba SC imeibuka na ushindi wa mabao 3-1 dhidi ya Singida Fountain Gate katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara leo Uwanja w...
    NI SIMBA NA AL AHLY, YANGA NA MAMELODI ROBÓ FAINALI LIGI YA MABINGWA

    NI SIMBA NA AL AHLY, YANGA NA MAMELODI ROBÓ FAINALI LIGI YA MABINGWA

    MABINGWA wa Tanzania, Yanga SC watamenyana na Mamelodi Sundowns ya Afrika Kusini katika Robó Fainali ya Ligi ya Mabingwa Afrika, wakati wata...
    Wednesday, March 06, 2024
    SIMBA SC CHALI JAMHURI, YAPIGWA 2-1 NA PRISONS

    SIMBA SC CHALI JAMHURI, YAPIGWA 2-1 NA PRISONS

    WAKITUMIA Uwanja wa Jamhuri mjini Morogoro kama wa nyumbani kwa mara nyingine leo, Simba SC imechapwa mabao 2-1 na Tanzania Prisons katika m...

    HABARI ZA AFRIKA

    HABARI ZA KIMATAIFA

    NDONDI

    MAKTABA YA BIN ZUBEIRY

    MAKALA

    Scroll to Top