• HABARI MPYA

    Thursday, June 14, 2012

    MASTAA AZAM FC WAKITANUA VIFUA KATIKA GYM LA KISASA CHAMAZI

    Asubuhi ya leo, BIN ZUBEIRY ilitembelea kambi ya Azam FC, Chamazi, nje kidogo ya Jiji la Dar es Salaam na kuwakuta wachezaji wa timu hiyo, itakayoiwakilisha Tanzania kwenye Kombe la Shirikisho la Soka Afrika mwakani wakijifua kwa mazoezi ya kujenga miili chini ya makocha wao, Waingereza, Stewart Hall na Msaidizi wake, Kalimangonga Sam Daniel Ongala kwenye gym kali na ya kisasa ya klabu hiyo, iliyopo ndani ya Uwanja wao, Chamazi. Cheki picha hizo.
     
    Kocha Stewart akiinua nondo


    Add caption

    Luckson Kakolaki

    Kipre Tchetche

    Said Mourad

    Gaudence Mwaikimba


    Zahor Pazi

    Odhiambo Blackberry

    Kipre Balou

    Kutoka kushoto, Ibrahim Shikanda, Himid Mao na Ibrahim Mwaipopo

    Kutoka kulia Jabir Aziz, Ramadhan Chombo na ...

    Kali Ongala akimuelekeza Ibrahim Mwaipopo, kushoto ni Mao


    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: MASTAA AZAM FC WAKITANUA VIFUA KATIKA GYM LA KISASA CHAMAZI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top