// Disable text selection (not fully reliable) function disableSelection(element) { element.setAttribute('unselectable', 'on'); element.style.userSelect = 'none'; element.style.MozUserSelect = 'none'; element.style.webkitUserSelect = 'none'; } // Apply to the entire document body document.addEventListener('DOMContentLoaded', function() { disableSelection(document.body); }); TUZO ZA TASWA ZILIVYOFANA USIKU HUU DIAMOND JUBILEE - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE TUZO ZA TASWA ZILIVYOFANA USIKU HUU DIAMOND JUBILEE - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE
  • HABARI MPYA

        Friday, June 15, 2012

        TUZO ZA TASWA ZILIVYOFANA USIKU HUU DIAMOND JUBILEE

        Rais wa TFF, Leodegar Tenga wa pili kulia akiwa na Jellah Mtagwa kushoto kwake


        Familia ya ndondi


        Wadau wa ndondi
        Tedi Mapunda kulia na bosi wake 


        Eiphraim Mafuru kulia


        Maswahiba wa siku nyingi, Shaaban Mkongwe kulia akiwa Waziri Mahadhi


        Beki wa Mtibwa Salum Swedi 'Kussi'


        Kaburu kulia akikabidhi tuzo


        Daud Salum 'Bruce Lee' kulia akikabidhi tuzo


        Athumani Hamisi akikabidhi tuzo


        Asha Baraka akikabidhi tuzo


        Mafuru akikabidhi tuzo


        Ridhiwani Kikwete kulia akiwa na Benny Kisaka kushoto, cheko la maana


        Dioniz Malinzi kushoto akikabidhi tuzo


        Kapombe akipokea tuzo ya Mwanamichezo Bora Chipukizi kutoka kwa Salim Amir


        Mzee Matumla akimkabidhi Kaburu tuzo ya Emmanuel Okwi


        Mwenyekiti wa RT, akimkabidhi tuzo Mwanahamisi Gaucho


        Aggrey Morris kushoto akipokea tuzo ya Mwanasoka Bora wa mwaka 


        Ally Choky akikabidhi tuzo


        Mafuru akipakia msosi


        Kim Poulsen kulia akiwa na nani sijui


        Jamal Rwambow kulia na Kaburu wakati wa maakuli


        Serengeti Beer inapokolea, mambo huwa hivi...


        Mzee El Maamry akimkabidhi tuzo George Tarimo


        Mzee Mwinyi akimkabidhi tuzo Adolph Rishard


        Mzee Mwinyi akimkabidhi tuzo Peter Tino


        Mzee Mwinyi akikabidhi tuzo


        Waziri Mahadhi akimpokelea tuzo marehemu baba yake, Omar Mahadhi


        Kaburu akimsaidia Kapombe kupokea tuzo ya Mwanamichezo Bora wa mwaka 2011 


        Juma Pinto akikabidhi tuzo


        Zena Chande na swahiba zake


        Shaffih Dauda kulia, Amour Hassan na Michael Maluwe


        Tullo Chambo na bosi wake


        Akina nani sijui hawa


        BIN ZUBEIRY kulia na Shaffih Dauda


        MAJINA YA WASHINDI

        1: OLIMPIKI MAALUM-Zanzibar
        Ahmada Bakar:

        2:OLIMPIKI MAALUM-TANZANIA BARA
        HERITH SULEIMAN

        3: PARALIMPIKI: WANAUME
        ZAHARANI MWENEMTI

        4:PARALIMPIKI: WANAWAKE
        FAUDHIA CHAFUMBWE

        5: KIKAPU: WANAUME
        GEORGE TARIMO:

        6:  KIKAPU WANAWAKE
        EVODIA  KAZINJA:-

        7: NETIBOLI:
        LILIAN SYLIDION

        8:  GOFU WANAWAKE:
        MADINA IDDI

        9: GOFU WANAUME:
        Frank Roman:

        10: NGUMI ZA RIDHAA
        SULEIMAN SALUM KIDUNDA

        12:  WAOGELEAJI MWANAMKE
        MAGDALENA MOSHI     

        WAOGELEAJI MWANAUME
        AMMAAR GHADIYALI  -  MEN

        13:JUDO...
        AZZAN HUSSEIN KHAMIS (ZANZIBAR)
        14:JUDO BARA: . MBAROUK SELEMANI

        14: WAVU WANAWAKE
        THERESIA ABWAO  

        15: WAVU WANAUME
        MBWANA ALLY

        16: NGUMI ZA KULIPWA
         Nasibu Ramadhan

        17. TENISI:Wanaume
        WAZIRI SALUMU

        18. TENISI WANAWAKE: 
        REHEMA ATHUMANI

        20: BAISKELI (Wanawake)
        Sophia Hussein
        -
        21: BAISKELI WANAUME
        Richard Laizer

        22: WACHEZAJI WA TANZANIA WANAOCHEZA NJE
        Mbwana Samatta-

        23: MCHEZAJI BORA CHIPUKIZI
        SHOMARI KAPOMBE- (soka) SIMBA

        24: MCHEZAJI WA NJE ANAYECHEZA TANZANIA
        Emmanuel Okwi-Simba

        25: SOKA (WANAWAKE)
        MWANAHAMISI OMARI

        26: SOKA WANAUME
        Aggrey Morris-Azam:

        27: RIADHA
        WANAWAKE
        Zakia Mrisho:

        28: RIADHA WANAUME
        Alphonce Felix:

        29: MIKONO WANAUME
        Kazad Monga-Magereza Kiwira
        Faraji Shaibu  Khamis-Nyuki Zbar

        30:  MIKONO WANAWAKE
        Zakia Seif-Ngome Dar

        31: Kriketi WANAWAKE
        Miss. Monika Pascal

        32; KRIKETI WANAUME
        Mr. Kassimu Nassoro

        33: TUZO YA HESHIMA:
        KIKOSI KILICHOFUZU FAINALI ZA MATAIFA YA AFRIKA 1980

        34:MWANAMICHEZO BORA WA TANZANIA MWAKA 2011-
        SHOMARI KAPOMBE 
        • Blogger Comments
        • Facebook Comments

        0 comments:

        Item Reviewed: TUZO ZA TASWA ZILIVYOFANA USIKU HUU DIAMOND JUBILEE Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry