Kiungo chipukizi wa Simba SC, Shomary Kapombe akipokea mfano wa hundi ya Sh Milioni 12, kutoka kwa mgeni rasmi katika sherehe za tuzo za Wanamichezo Bora Tanzania, rais Mstaafu Ally Hassan Mwinyi kulia kwenye ukumbi wa Diamond Jubilee, Dar es Salaam usiku huu. Kapombe pia alishinda tuzo ya Mwanamichezo Bora chipukizi.
Ex-AGF Nwabuoku seeks delay in N868.4m fraud trial
-
From Sola Ojo, Abuja A former Acting Accountant General of the Federation
(AGF), Chukwunyere Anamekwe Nwabuoku, has failed to meet his promise of
filing ...
0 comments:
Post a Comment