• HABARI MPYA

    Friday, June 08, 2012

    BREAKING NEWS; YONDAN AKABIDHIWA JEZI YAKE YANGA

    Beki wa Simba, Kelvin Yondan akikabidhiwa jezi ya klabu yake mpya, Yanga na mwanachama wa Yanga, Seif Ahmad 'Magari'.

    Kaka yake Kelvin Yondan akiusoma kwa makini mkataba wa Yanga, kabla ya kumruhusu mdogo wake kusaini

    Yondan anatia dole gumba nguvu zake zote

    Yondan anamwaga wino kwa umakini wa hali ya juu

    Yondan akiangalia fedha huku akinywa maji kupoza koo, kulia ni kaka yake

    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: BREAKING NEWS; YONDAN AKABIDHIWA JEZI YAKE YANGA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top