![]() |
Ally Mustafa 'Barthez' akisalimiana na Amri Kiemba baada ya mechi |
![]() |
Barthez na Chollo |
![]() |
Waghana; Yaw Berko na Daniel Akuffo wa Simba |
![]() |
Barthez na Kaseja |
![]() |
Kocha wa Yanga, Ernie Brandts |
![]() |
Simba wanapsaha |
![]() |
Yanga wanapasha |
![]() |
Msafiri Mgoyi kazini |
![]() |
Mashabiki wa Simba |
![]() |
Kiemba akipongezwa kwa bao la kuongoza |
![]() |
Simba wakishangilia bao la kutangulia |
![]() |
Bahanuzi anaweka mpira gambani mbele ya Kapombe, Paul Ngalema akiwa tayari kusaidia |
![]() |
Hapa Bahanuzi alimuumiza Kapombe, anatibiwa huku wachezaji wa Simba wakimlalamikia refa Akrama |
![]() |
Hesabu za Kapombe kwenye mpira...kubali, kataa, dogo bonge la beki |
![]() |
Kapombe anamdhibiti Bahanuzi |
![]() |
Haruna anatafuta maarifa ya kumtoka Jonas Mkude |
![]() |
Cannavaro chupuchupu afunge kwa kichwa hapa |
![]() |
Paul Ngalema akimdhibiti Kiiza Diego |
![]() |
Niyonzima akimsema ovyo Nyosso baada ya kufanyiwa 'undavaku' |
![]() |
Nizar Khalfan kulia na Mrisho Ngassa kushoto |
![]() |
Mrisho anamkaba Mwasyika |
![]() |
Mashabiki wa Simba |
![]() |
Chollo anamdhibiti Bahanuzi |
![]() |
Kavumbangu anawashughulisha mabeki wa Simba..ameenda hewani kutoa pasi ya kichwa kwa Bahanuzi |
![]() |
Iddi Moshi akiingia na mwanawe Amran |
![]() |
Makamu Mwenyekiti wa Yanga, Clement Sanga katikati |
![]() |
Kocha Mkuu wa taifa Stars, Kim Poulsen kulia, katikati kocha wa timu za vijana, Jacob Michelsen na mpenzi wake kushoto |
![]() |
Makamu Mwenyekiti wa zamani wa Yanga, Isaac Shekiondo |
![]() |
Wadau |
![]() |
Alex Mgongolwa kushoto akiwa na Mohamed Bhinda |
![]() |
Makamu Mwenyekiti wa Simba, Geoffrey Nyange 'Kaburu' kulia akiwa na beki na kocha wa zamani wa Simba, Jamhuri Kihwelo |
![]() |
Alikuwa anaangalia mpira nyuma ya lango la Simba |
![]() |
Simba wanaingia |
![]() |
Friends Of Simba 'wanakaba' |
![]() |
Friends Of Simba |
![]() |
Yanga wanapasha |
![]() |
Vigogo wa Simba |
0 comments:
Post a Comment