![]() |
| Kocha Mkuu wa Taifa Stars, Mdenmark, Kim Poulsen akimuelekeza jambo kuhusu mechi hiyo Kocha wa timu za vijana, Jacob Michelsen kulia |
![]() |
| Kim na Jacob wakifuatilia mechi |
![]() |
| Meneja wa Taifa Stars, Leopold Tasso Mukebezi kushoto akiwa na Ofisa wa TFF, Saad Kawemba |
![]() |
| Kocha wa timu za vijana wa Azam, Vivek Nagul akinukuu mambo muhimu kuhusu mchezo huo, na baada ya hapo anakutana na Kocha Mkuu, Stewart kumpa ripoti ili mapungufu yafanyiwe kazi |
![]() |
| Makamu Mwenyekiti wa Simba, Geoffrey Nyange 'Kaburu' akiwa na Makamu Mwenyekiti wa Coastal kulia |
![]() |
| Mwenyekiti wa zamani wa Yanga, Wakili Imani Madega alikuwepo Chamazi leo |
![]() |
| Makocha wa Yanga, Ernie Brandts kulia na Msaidizi wake, Freddy Felix Minziro walikuwepo kuifanyia ushushushu Azam Chamazi leo |
![]() |
| Bado Yanga; Gaudence akishangilia bao lake, ambalo ni tamu kwa kweli |
![]() |
| Hajji Nuhu na Gau Mwaikimba |
![]() |
| Gau baada hya kufunga |
![]() |
| Kama yupo mtu leo alikuwa anatia huruma, basi ni M kurugenzi wa Ufundi wa Coastal, Nassor Bin Slum...hapa anatuliza mawazo kwa sigara yake |
![]() |
| Bosi leo alikuwa anatia huruma |
![]() |
| Kama vile amtukane BIN ZUBEIRY baada ya kumshitukia anampiga picha...lakini busara ikamzuia |
![]() |
| Samir Hajji Nuhu anaambaa kulia |
![]() |
| Kipre Balou anamtoka Othman Tamim |
![]() |
| Kipre Tcheche anamtoka Juma Jabu |
![]() |
| Daniel Lyanga kulia na Said Mourad kushoto |
![]() |
| Lyanga na Mourad |
![]() |
| Balou na Othman |
![]() |
| Tcheche na Jabu kulia |
![]() |
| Mwadini Ali akiwa amedaka moja ya michomo iliyoelekezwa langoni mwake leo |
![]() |
| Cheki pande la Salum Abubakr linavyopasua msitu kuelekea kwa Mwaikimba (hayupo pichani) |
![]() |
| Stewart kazini |
![]() |
| Mwaikimba katikati ya msitu wa mabeki wa Coastal |



























.png)