![]() |
Kocha wa Azam, Stewart Hall akimkabidhi jezi ya Azam, Sadi Kawemba wa TFF |
![]() |
Katibu wa Azam, Nassor Idrisa akimkabidhi jezi ya Azam, rais wa TFF, Leodegar Tenga kulia |
![]() |
Meneja wa Azam, Patrick Kahemele akimkabidhi jezi ya Azam, Ofisa wa FIFA aliye katika msafara wa Pele, Emmanuel Maradas |
![]() |
Kahemele akimkabidhi jezi Pele |
![]() |
Maradas akimpa zawadi za FIFA Nassor |
![]() |
Pele akizungumza na Waandishi wa Habari |
![]() |
Leo ni birthday ya Pele, kocha wa timu za vijana za Azam, Vivek Nagul amemfanyia surprise kwa kumtengenezea keki aliyomkabidhi alipofika Chamazi. Hapa anajilamba baada ya kuonja keki |
![]() |
Pele akifurahia keki yake |
![]() |
Pele akikata keki yake. Kushoto ni Tenga akishuhudia |
![]() |
King Zubeiry na King Pele |
![]() |
King Pele akiwa na viongozi wa Azam |
![]() |
Kulia ni Ofisa wa FIFA, aliye katika msafara wa Pele, Ashford Mamelodi |
![]() |
Stewart akimjulisha kuhusu mambo ya Azam |
![]() |
Kocha Msaidizi wa Azam, Kali Ongala |
![]() |
Khamis Mcha 'Vialli' akiogelea kwenye bwawa ndani ya Azam Complex |
![]() |
Stewart akimjuza Pele |
![]() |
Pele akiingia kwenye Uwanja wa Azam |
![]() |
Nassor akiupokea msafara wa Pele |
![]() |
King Pele anashuka kwenye gari |
![]() |
Pele katika picha ya pamoja na viongozi na wachezaji wa Azam Academy |
![]() |
Pele akiwa amezungukwa na bidhaa za Azam |
![]() |
Tenga akiweka chupa ya maji ya Uhai mezani baada ya kupiga funda za kutosha |
![]() |
Tendo bila kuchelewa, King Pele akigungua 'kiemolo' cha Azam Cola |