• HABARI MPYA

    Wednesday, April 17, 2013

    YANGA NA JKT MGAMBO, LILIKUWA BONGE LA MECHI LEO MKWAKWANI

    Kiungo wa Yanga, Frank Domayo akigombea mpira na wachezaji wa JKT Mgambo katika mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara jioni ya leo Uwanja wa Mkwakwani, Tanga. Timu hizo zilitoka sare ya 1-1.

    Beki wa Yanga, Oscar Joshua akipiga krosi mbele ya beki wa JKT Mgambo

    Kiungo wa Yanga, Haruna Niyonzima akichuana na mchezaji wa Mgambo JKT kugombea mpira

    Mshambuliaji wa Yanga SC, Said Bahanuzi akimiliki mpira mbele ya beki wa JKT Mgambo

    Wachezaji wa Yanga wakishangilia bao lao

    Mashabiki wa Kizungu wa Yanga wakinunua jezi za timu hiyo

    Mashabiki wa Yanga wakipoza koo kwa bia wakati wa mapumziko, timu yao ikiwa nyuma kwa bao 1-0

    Mashabiki wa Yanga 

    Mjumbe wa Kamati ya Mashindano ya Yanga, Moses katabaro akimpongeza Haruna Niyonzima baada ya mechi

    Mpenzi wa Yanga Kaisi kushoto akimshangaa Mjumbe wa Kamati ya Utendaji ya Simba SC, Swedi Nkwabi kutokea Uwanja wa Mkwakwani leo

    Wanalaumiana? Viongozi wa Yanga kutoka kushoto Makamu Mwenyekiti, Clement Sanga, Wajumbe Abdallah Bin Kleb, Seif Ahmad na Mohamed Nyenge baada ya mechi

    Presha inapanda, presha inashuka...Kutoka kulia ni Nyenge, Seif na Katabro wakati Yanga ikiwa nyuma kwa 1-0

    Kipa wa JKT Mgambo, Godson Mmasi akiwa ameduwaa baada ya Yanga kusawazisha, huku akipozwa na beki wake

    Kiungo wa Yanga SC, Nizar Khalfan akipiga mpira huku beki wa Mgambo JKT akizuia

    Kikosi cha Yanga SC leo

    Kikosi cha Mgambo JKT leo

    Beki wa Mgambo JKT akiwa ameondosha mpira kwenye hatari mbele ya Nizar

    Mshambuliaji wa Yanga, Simon Msuva akipiga mpira huku beki wa Mgambo JKT akizuia

    Hamisi Kiiza wa Yanga akimiliki mpira mbele ya mchezaji wa JKT Mgambo

    Mbuyu Twite wa Yanga SC akimdhibiti mshambuliaji wa JKT Mgambo

    Frank Domayo wa Yanga akigombea mpira na  beki wa JKT Mgambo

    Hamisi Kiiza akimtoka beki wa Mgambo JKT...

    ...Amewekwa chini ndani...hii inaitwaje?

    • Blogger Comments
    • Facebook Comments
    Item Reviewed: YANGA NA JKT MGAMBO, LILIKUWA BONGE LA MECHI LEO MKWAKWANI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top