![]() |
Beki wa Ivory Coast akijaribu kumdhibiti Mbwana Samatta |
![]() |
Nori Koffi Christian wa Ivory Coast akimfukuza Mbwana Samatta |
![]() |
Samatta anafanya safari |
![]() |
Samatta huyoo |
![]() |
Samatta anakwenda |
![]() |
Jean Gosso Gosso akimdhibiti Mwinyi Kazimoto, huku Didier Zakora akiwa tayari kutoa msaada |
![]() |
Gosso Gosso amemuweka chini Kazimoto |
![]() |
Kazimoto chini, Gosso Gosso kushoto, kulia Zakora |
![]() |
Thomas Ulimwengu kulia akitafuta mbinu za kumtoka Didier Zakora |
![]() |
Ulimwengu na Zakora |
![]() |
Wachezaji wa Stars wakishangilia bao lao la kwanza |
![]() |
Ulimwengu akishangilia bao lake |
![]() |
Shomary Kapombe akitolewa nje baada ya kuumia |
![]() |
Kapombe akipatiwa huduma ya kwanza baada ya kuumia |
![]() |
Kapombe akigaagaa kuugulia maumivu |
![]() |
Penalti ya Yaya Toure |
![]() |
Salum Abubakar 'Sure Boy' akikatiza |
![]() |
Shomary Kapombe amepiga kichwa kuokoa |
![]() |
Geoffrey Serey akiwa ametoa mpira nje dhidi ya Thomas Ulimwengu |
![]() |
Serey na Ulimwengu |
![]() |
Ulimwengu akiwatoka Suleiman Bamba na Arthur Boca kushoto |
![]() |
Kushoto ni Ulimwengu na Gosso Gosso na kulia Amri Kiemba na Boca, wakati kulia kabisa ni Solomon Kalou |
![]() |
Amri Kiemba akimdhibiti Boca |
![]() |
Hatari kwenye lango la Ivory Coast |
![]() |
Kikosi cha Taifa Stars leo |
![]() |
Kikosi cha Ivory Coast leo |
![]() |
Kula tano; Mbwana Samatta akisalimiana na Didier Zakora |
![]() |
Tumekwisha; Shabiki wa Stars akionyesha ishara ya 'tumekwisha' baada ya bao la nne la Ivory Coast |