• HABARI MPYA

    Thursday, July 04, 2013

    HIGUAIN HUYOO NDANI YA ARSENAL...ATUA LONDON KUKAMILISHA USAJILI WAKE

    IMEWEKWA JULAI 4, 2013 SAA 1:09 USIKU
    MSHAMBULIAJI Gonzalo Higuain yuko  njiani kutua London kukamilisha uhamisho wake wa Pauni Milioni 22 kutua Arsenal.
    The Gunners ipo karibu kumsajili Muargentina huyo na wapo katika hatua za mwisho za kuthibitihsa fili dilo.
    Higuain, ambaye ameambiwa yuko huru kuondoka Real Madrid anatarajiwa kutua London leo kwa mazungumzo.
    Nearly done: How Higuain would look in an Arsenal kit, in our mocked-up image
    Karibu yatatimia: Jinsi gani Higuain ataonekana akiwa katika uzi wa Arsenal, hii ni picha ya 'magumashi'

    Baba yake ameonyesha daliliza kukamilisha kwa dilo hilo.
    "Hatutajadiliana na klabu yoyote bila ya ruhusa ya klabu inayotaka kumuuza,"alisema Higuain kuiambia TuttoMercato.
    "Tuna ruhusa [kutoka Madrid] na ni matumaini karibuni tutamuona mwanangu katika Ligi Kuu England.’
    Arsenal imekamilisha usajili wa mshambuliaji kinda Mfaransa, Yaya Sanogo Jumatatu wiki hii.
    Johan Djourou na Vito Mannone tayari wametolewa kwa mkopo na kuuzwa, wakati Arsene Wenger ameripotiwa kutaka kuwasajili Wayne Rooney, Marouane Fellaini na Lars Bender.
    Goal machine: The Argentine striker scored 16 goals in 19 starts for Real Madrid in La Liga last season
    Mtambo wa mabao: Mshambuliaji wa Argentine amefunga mabao 16 katika mechi 19 Real Madrid kwenye La Liga msimu uliopita
    Goal machine: The Argentine striker scored 16 goals in 19 starts for Real Madrid in La Liga last season

    • Blogger Comments
    • Facebook Comments
    Item Reviewed: HIGUAIN HUYOO NDANI YA ARSENAL...ATUA LONDON KUKAMILISHA USAJILI WAKE Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top