• HABARI MPYA

    Wednesday, August 07, 2013

    AZAM FC ILIVYOICHAPA KIDUDE MAMELODI LEO AFRIKA KUSINI, SALAMU ZAO YANGA...

    IMEWEKWA AGOSTI 7, 2013 SAA 3:09 USIKU
    Kiungo wa Azam FC, Salum Abubakar akimtoka beki wa Mamelodi Sundwon katika mchezo wa kirafiki leo kwenye Uwanja wa Mamelodi, uliopo Chloorkop, Johannesburg Afrika Kusini. Azam ilishinda 1-0. Azam itacheza na Yanga SC Agosti 17, katika mechi ya kuwania Ngao ya Jamii, Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam.   


    Sure Boy chini...


    John Bocco na kipa wa Memelodi
    Mfungaji wa bao pekee la Azam leo, Gaudence Mwaikimba katikati ya mabeki wa Azam  


    Mwaikimba akishangilia bao lake
    Seif Abdallah akimpongeza Mwaikimba


    John Bocco alikuwa mwiba leo
    Kipre Tchetche akigombea mpira na mchezaji wa Mamelodi


    Kiungo wa Azam, Himid Mao akimtoka mchezaji wa Mamelodi


    John Bocco anajianda kumtoka mtu


    Sure Boy alionyesha kiwango leo


    Jabir Aziz akiwatoka wachezaji wa Mamelodi


    Kipa Aishi Manula akidaka vizuri leo na kuokoa michomo kadhaa ya hatari


    John Bocco leo alishindwa kufunga tu, ila mabeki wa Mamelodi walimtambua


    John Bocco akipambana


    11 wa Azam FC walioanza leo 


    11 wa Mamelodi walioanza leo
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments
    Item Reviewed: AZAM FC ILIVYOICHAPA KIDUDE MAMELODI LEO AFRIKA KUSINI, SALAMU ZAO YANGA... Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top