• HABARI MPYA

    Monday, August 05, 2013

    AZAM FC KAMBINI TOWERS HOTEL, STEWART NI FULL MIPANGO NA WACHEZAJI...

    IMEWEKWA AGOSTI 5, 2013 SAA 3:50 USIKU
    Kocha Mkuu wa Azam FC, Muingereza, Stewart Hall (kushoto) akielekezana mambo ya kitaalamu na Muingereza mwenzake, Paul Taylor katika hoteli ya Towers Hotel, Rundburg, Afrika Kusini ambako timu hiyo imeweka kambi ya kujiandaa na msimu. Tylor ni Mtaalamu wa tiba za wanamichezo aliyekuja kuongeza nguvu katika klabu hiyo. 

    Waingereza watupu; Kulia kocha Msaidizi Muingereza Kali Ongala, Taylor  na Stewart wakipanga mikakati. 

    Mapacha wa Ivory Coast; Kulia Kipre Balou na kushoto pacha wake, Kipre Tchetche wakipata chakula cha jioni  

    Misosi kujipimia; Wachezaji wakijipakulia chakula hoteli

    Ni kujichana; Kulia John Bocco 'Adebayor', katikati Erasto Nyoni na kushoto Said Mourad 'Mweda'

    Ukuta wa azam; Kulia Aggrey Morris na kushoto Mkenya Joackins Atudo, mabeki wa kati wa Azam 

    Macho kwenye kioo; Jabir Aziz kulia na Aishi Manula wakiangalia Televisheni  

    • Blogger Comments
    • Facebook Comments
    Item Reviewed: AZAM FC KAMBINI TOWERS HOTEL, STEWART NI FULL MIPANGO NA WACHEZAJI... Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top