• HABARI MPYA

    Tuesday, August 06, 2013

    AZAM FC WAKIJIFUA LEO VIWANJA VYA CHUO KIKUU CHA WITS JOHANNESBURG KATIKA BARIDI KALI ASUBUHI

    IMEWEKWA AGOSTI 6, 2013 SAA 6:54 MCHANA
    Kocha wa mazoezi ya viungo wa Azam FC, Mkenya Ibrahim Shikanda akiwapa mazoezi wachezaji wake asubuhi ya leo kwenye Viwanja vya Chuo Kikuu cha Wits, Johannesburg, Afrika Kusini ambako timu hiyo imeweka kambi kujiandaa na msimu. 

    Mazoezi yamenoga

    Ni mazoezi tu

    Ni kupasha kwenda mbele

    Kipre Balou akivaa ili kuingia mazoezini

    Mataifa matatu; Kutoka kulia Kipre Tchetche wa Ivory Coast, Mkenya Joackins Atudo na mzawa Jabir Aziz 

    Kutoka kulia Aishi Manula, Aggrey Morris na Erasto Nyoni

    Wachezaji wakiwa kwenye basi kuelekea mazoezini

    Gaudence Mwaikimba na Said Mourad 'Mweda' kushoto

    Kocha wa makipa, Iddi Abubakar kushoto akiwapa maelekezo vijana wake, Mwadini Ally na Aishi Manula kulia

    Aishi Manula akidaka mazoezini

    Mwadini Ally

    Salum Abubakar kulia na Mudathir Yahya kushoto

    • Blogger Comments
    • Facebook Comments
    Item Reviewed: AZAM FC WAKIJIFUA LEO VIWANJA VYA CHUO KIKUU CHA WITS JOHANNESBURG KATIKA BARIDI KALI ASUBUHI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top