• HABARI MPYA

    Saturday, August 03, 2013

    SIMBA SC ILIVYOSHIKWA NA MAAFANDE WA POLISI NCHI NZIMA LEO TAIFA

    IMEWEKWA AGOSTI 3, 2013 SAA 5: 18 USIKU
    Mshambuliaji mpya wa Simba SC, Betram Mombeki aliyekuwa Marekani, akimtoka beki wa kombaini ya Polisi Tanzania leo katika mchezo wa kirafiki baina ya timu hizo, Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam jioni ya leo, Timu hizo zilitoka 1-1, Mombeki akianza kuifungia Simba SC. 

    Betram Mombeki akipongezwa na wenzake baada ya kufunga

    Betram Mombeki akijiandaa kupiga shuti kufunga

    Betram Mombeki amefumua shuti mpira unawapita mabeki wa Polisi kuelekea nyavuni

    Mokili Lambo wa Polisi akichuana na Jonas Mkude wa Simba SC

    Betram Mombeki akiwania mpira wa juu dhidi ya kipa wa Polisi, Kondo Salum

    Abdulhalim Humud wa Simba SC akiwania mpira na Bantu Admin wa Polisi

    Sino Augustino wa Simba SC akimtoka beki wa Polisi

    Rahim Juma wa Simba SC akipiga krosi huku akidhibitiwa na beki wa Polisi

    Kikosi cha Simba SC leo

    Kikosi cha Polisi leo

    Kiafande; Wachezaji wa Polisi wakishangilia bao kwa kupiga saluti

    Baada ya kazi; Wachezaji wa Simba SC, Ramadhan Chombo 'Redondo' kulia na Abdulhalim Humud 'Gaucho' kushoto waliocheza dakika 45 tu leo, wakiwa vazi la 'kiraia' baada ya kutoka uwanjani tayari kupanda jukwaani kuangalia mechi 

    • Blogger Comments
    • Facebook Comments
    Item Reviewed: SIMBA SC ILIVYOSHIKWA NA MAAFANDE WA POLISI NCHI NZIMA LEO TAIFA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top