• HABARI MPYA

    Wednesday, September 11, 2013

    MOURINHO ANAVYOMUANDAA ADAM NDITI KUCHUKUA NAFASI KIKOSI CHA KWANZA THE BLUES

    IMEWEKWA SEPTEMBA 11, 2013 SAA 3:35 ASUBUHI
    Kocha Mreno, Jose Mourinho kushoto akimpa maelekezo kiungo chipukizi wa Chelsea B, Mtanzania, Adam Nditi wakati wa mazoezi ya timu hiyo juzi Uwanja wa Stamford Bridge, London. Nditi kwa sasa anafanya mazoezi na kikosi cha kwanza cha The Blues. Picha kwa hisani ya Nditi.

    Nditi kushoto akitafuta mbinu za kumpora mpira 'adui' mazoezini

    Hakuna njia; Angalia ukabaji wa Nditi ulivyo makini na wa hesabu kali 
    Goal threat: Samuel Eto'o practises headers during a training session with Chelsea
    Mchezaji mpya, Samuel Eto'o naye alianza kazi Chelsea
    Club mates: Both Eto'o and fellow new boy Willian (left) joined from Anzhi this summer
    Eto'o na mchezaji mwenzake mpya, Willian (kushoto) waliyetoka naye Anzhi kutua Chelsea
    Still got it: The 32-year-old shows George Brady (right) a few skills during the session
    Eto'o akimuonyesha vitu George Brady (kulia)
    Warm welcome: Club captain John Terry shakes Eto'o's hand as the Cameroonian gets down to business
    Nahodha wa Chelsea, John Terry akisalimiana na Eto'o
    High spirits: Juan Mata (right), Kevin de Bruyne and the pair share a joke in training
    Juan Mata (kulia), Kevin de Bruyne wakiangalia maongezi ya Eto'o na Terry
    Back to work! Eto'o and Co start warming up
    Eto'o na wenzake wakipasha
    Try and stop me: Michael Essien (centre) attempts to nick the ball from Eto'o
    Michael Essien (katikati) akijaribu kumzuia Eto'o mazoezini
    Missing out: Willian, Eto'o and Mata watch as the ball rolls away from them
    Willian, Eto'o na Mata wakiangalia mpira
    Focused: Eto'o and Willian are hoping to make their debuts at the weekend against Everton
    Eto'o na Willian wanatarajiwa kuanza kazi dhidi ya Everton Jumamosi
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments
    Item Reviewed: MOURINHO ANAVYOMUANDAA ADAM NDITI KUCHUKUA NAFASI KIKOSI CHA KWANZA THE BLUES Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top