• HABARI MPYA

    Saturday, September 14, 2013

    SIMBA SC ILIVYOANZA SAFARI YA UBINGWA LIGI KUU LEO TAIFA

    IMEWEKWA SEPTEMBA 14, 2013 SAA 2:29 USIKU
    Wachezaji wa Simba SC wakishangilia bao la kwanza lililofungwa na kiungo Henry Joseph katika mchezo wa leo wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara, Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam dhidi ya Mtibwa Sugar. Simba ilishinda 2-0. 

    Betram Mombeki akishangilia baada ya kufunga bao la pili

    Mashabiki wa Simba SC kwa raha zao Taifa leo

    Amri Kiemba akipasua katikati ya wachezaji wa Mtibwa

    Juma Luizio wa Mtibwa Sugar akimiliki mpira katika ya wachezaji wa Simba SC

    Shaaban Kisiga wa Mtibwa akiwatoka viungo wa Simba SC, Jonas Mkude na Amri Kiemba 

    Kisiga katikati ya Kiemba na Mkude

    Simba SC walioanza leo

    Mtibwa Sugar walioanza leo

    • Blogger Comments
    • Facebook Comments
    Item Reviewed: SIMBA SC ILIVYOANZA SAFARI YA UBINGWA LIGI KUU LEO TAIFA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top