• HABARI MPYA

    Monday, September 09, 2013

    TAMASHA LA TUKO WANGAPI LILIVYOFANA LEADERS CLUB

    IMEWEKWA SEPTEMBA 9, 2013 SAA 12:42 JIONI
    Msanii wa muziki wa kizazi kipya, Suma Mnazareth akiwapa ujumbe wananchi waliojotokeza katika tamasha la 'Tupo Wangapi???' la kuhamasisha jamii kuachana na mitandao ya ngono lililoandaliwa na Tume ya kudhibiti Ukimwi (TACAIDS) ndani ya viwanja vya Leaders Club jijini Dar es Salaam.

    Msanii wa muziki wa kizazi kipya, Snura 'Mama wa Manjanga' akiwapa ujumbe wa Tupo Wangapi??? Wananchi waliojotokeza katika tamasha la 'Tupo Wangapi' la kuhamasisha jamii kuachana na mitandao ya ngono lililoandaliwa na Tume ya kudhibiti Ukimwi (TACAIDS) ndani ya viwanja vya Leaders Club jijini Dar es Salaam.

    Msanii wa muziki wa kizazi kipya, H.Baba 'Mkali wa Mauno' akitoa burudani kwa Wananchi waliojotokeza katika tamasha la 'Tupo Wangapi' la kuhamasisha jamii kuachana na mitandao ya ngono lililoandaliwa na Tume ya kudhibiti Ukimwi (TACAIDS) ndani ya viwanja vya Leaders Club jijini Dar es Salaam.

    Msanii wa muziki wa kizazi kipya, Shetta atoa ujumbe wa kujikinga na wapenzi wengi kwa Wananchi waliojotokeza katika tamasha la 'Tupo Wangapi???' la kuhamasisha jamii kuachana na mitandao ya ngono lililoandaliwa na Tume ya kudhibiti Ukimwi (TACAIDS) ndani ya viwanja vya Leaders Club jijini Dar es Salaam.

    Msanii wa muziki wa kizazi kipya, Diamond 'Sukari ya Warembo' akiwapa ujumbe wa Tupo Wangapi??? Wananchi waliojotokeza katika tamasha la 'Tupo Wangapi' la kuhamasisha jamii kuachana na mitandao ya ngono lililoandaliwa na Tume ya kudhibiti Ukimwi (TACAIDS) ndani ya viwanja vya Leaders Club jijini Dar es Salaam.
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments
    Item Reviewed: TAMASHA LA TUKO WANGAPI LILIVYOFANA LEADERS CLUB Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top