IMEWEKWA SEPTEMBA 11, 2013 SAA 1:48 ASUBUHI
MABAO mawili ya Robin van Persie usiku wa jana yameiwezesha Uholanzi kuwa timu ya kwanza ya Ulaya kujikatia tiketi ya kucheza Fainali za Kombe la Dunia mwakani, baada ya kuilaza 2-0 ugenini Andorra katika mchezo wa kundi D.
Kikosi cha Uholanzi jana kilikuwa: Vorm, Janmaat, De Vrij, Vlaar, Willems/Maher dk47, Schaars, Strootman, Sneijder/Kuyt dk79, Schaken, Van Persie na Lens.
Andorra: Pol, San Nicolas, Lima, Miramontes, Martinez Alejo, Vales, Pons (Ayala Diaz 85), Vieira de Vasconcelos, Riera (Moreira 71), Roncero (Maneiro Ton 59), Garcia Renom.
Mshambuliaji huyo wa Manchester United, alifunga mabao hayo dakika ya 49 na 53 ambayo sasa yanamfanya abakize mabao mawili kufikia ya ufungaji wa kihistoria wa nchi hiyo.
On target: Robin Van Persie (left) celebrates with Holland teammate Wesley Sneijder after his brace
We're going to Brazil: Van Persie celebrates with team-mates after sealing Holland's World Cup place
In action: Netherlands' Jeremain Lens (left) battles with Andorra's Moises San Nicolas
Head down: Andorra's defender Marc Vales (left) challenges Dutch star Wesley Sneijder
50/50: Van Persie (left) attempts to win the ball from Andorra's Marc Pujol


.png)