• HABARI MPYA

    Saturday, October 05, 2013

    MAMBO YALIVYOKUWA MKWAKWANI COASTAL NA AZAM LEO, WACHEZAJI, REFA WAPIGWA CHUPA

    IMEWEKWA OKTOBA 5, 2013 SAA 3:30- USIKU

    Mshambuliaji wa Azam FC, Kipre Tchetche akigombea mpira wa juu na beki wa Coastal Union katika mchezo wa leo wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara, Uwanja wa Mkwakwani, Tanga. Timu hizo zilitoka 0-0.

    Kipa wa Coastal, Shaaban Kado akipangua mpira wa kona

    Brian Umony akimtoka Juma Nyosso

    Kipre Tchetche akijiandaa kupiga krosi

    Brian Umony akigombea mpira na beki wa Coastal

    Hatari kwenye lango la Coastal

    John Bocco akipasua katikati ya wachezaji wa Coastal

    Salum Abubakari akitoa pasi pembeni ya Jerry Santo

    Salum Akubakar na Jerry Santo

    Shaaban Kado alifanya kazi nzuri leo

    Pamoja na kuangushwa chini, Kipre Tchetche hakuachia mpira

    John Bocco na Juma Nyosso leo ilikuwa shughuli pevu

    John Bocco akipasua

    Kipre Tchetche akipigwa chupa na mashabiki wa Coastal

    Mashabiki wa Coastal hadi Wazungu 

    Kocha wa Coastal, Hemed Morocco leo Mkwakwani

    Mashabiki wa Azam FC

    Mshika kibendera namba mbili, Hassan Zani akipatiwa huduma ya kwanza baada ya kupigwa chupa na mashabiki wa Coastal 

    • Blogger Comments
    • Facebook Comments
    Item Reviewed: MAMBO YALIVYOKUWA MKWAKWANI COASTAL NA AZAM LEO, WACHEZAJI, REFA WAPIGWA CHUPA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top