• HABARI MPYA

    Monday, October 07, 2013

    MAN UNITED YAMPA BONGE LA OFA JANUZAJ ABAKI OLD TRAFFORD

    IMEWEKWA OKTOBA 7, 2013 SAA 6:24 MCHANA
    KLABU ya Manchester United imempa Adnan Januzaj ofa ya mshara wa Pauni 60,000 kwa wiki ili abaki Old Trafford baada ya kuisaidia timu hiyo kushinda Uwanja wa Light. 
    Kinda huyo mwenye umri wa miaka 18, zao lingine la kizazi cha dhahabu cha Ubelgiji, alicheza mechi yake ya kwanza ya Ligi Kuu ya England na kufunga mabao mawili yalioyomfariji kocha David Moyes kwa ushindi wa 2-1.
    Na wakati mkataba wa mshambuliaji huyo unamalizika miezi nane ijayo, klabu kadhaa zimeonyesha nia ya kumsajili, hivyo kocha huyo United anataka kumbakiza nyoa wake huyo mpya.
    Tempting: Manchester United have offered Adnan Januzaj £60,000 per week to stay at the club
    Kifaa: Manchester United imempa Adnan Januzaj ofa ya mshahara wa Pauni 60,000 wiki abaki katika klabu hiyo
    On the town: Januzaj takes a stroll through Manchester on Sunday afternoon
    Mitaa ya mjini: Januzaj akitalii mitaa ya Jiji la Manchester Jumapili
    Adnan Januzaj
    Kazi nzuri imefanyika: Januzaj akipongezwa na wenzake Robin van Persie na Michael Carrick baada ya kufunga
    Praise: Wayne Rooney is a fan of the precocious talent
    Wanamkubali: Wayne Rooney ni shabiki mkubwa wa nyoa huyo mwenye kipaji
    Adnan Januzaj
    Anamkubali kijana: Kocha wa United, David Moyes amempa nafasi Januzaj kung'ara kama alivyofanya kwa Rooney alipokuwa naye Everton
    VIPAJI BABU KWA KIBLEJIGI
    BIN ZUBEIRY inakutajia nyota wengine wa kizazi cha dhahabu cha Ubelgiji wanaocheza Ligi Kuu England
    Marouane Fellaini
    The Brilliant Belgians
    Kizazi cha dhahabu: Marouane Fellaini ni mmoja wa nyota wa kizazi cha dhahabu cha Ubelgiji, ambao kwa sasa wanacheza Ligi Kuu England
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments
    Item Reviewed: MAN UNITED YAMPA BONGE LA OFA JANUZAJ ABAKI OLD TRAFFORD Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top